Print this Page

Welcome – Karibu

Welcome and thank you for visiting our website of The High Commission Of The United Republic of Tanzania in

the United Kingdom. Here you will be provided with useful information about Tanzania and the work of the

mission. For any inquiries, please do not hesitate to contact us we are here to help.

Karibuni sana. 


THE HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF

TANZANIA – LONDON


TANZANIA HIGH COMMISSION

LONDON

TENDER NOTICE TANGA PORT

timage0006
timage0007

TENDER NOTICE DAR-ES-SALAAM PORT

 

timage0008timage0009

UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

LONDON

TANGAZO LA UHAKIKI WA WASTAAFU

Wizara ya Fedha na Mipango hivi karibuni ilifanya zoezi la kuhakiki wastaafu wote wanaolipwa pensheni

na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wastaafu ambao hawakujitokeza kuhakikiwa waliondolewa katika daftari la pensheni pamoja na

kusitishwa malipo yao.

Wastaafu wote ambao hawakufanyiwa uhakiki kutokana na kuishi nje ya nchi, mnaombwa kufika katika

ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapa London kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.

Mnaombwa kufika mkiwa na nyaraka zifuatazo;

  •  Kivuli cha kitambulisho cha mstaafu
  •  Kivuli cha Barua ya Tuzo
  •  Kivuli cha ATM card au Bank statement ( akaunti inayotumika kupokea malipo ya pensheni)
  •  Nakala ya malipo yoyote (payment voucher) ambayo umeishawahi kulipwa na Wizara.
  •  Nakala ya barua ya kuajiriwa au kuthibitishwa kazini.
  •  Kitambulisho cha Jeshi kwa Wanajeshi
  •  Nakala ya barua ya kustaafu au kustaafishwa.

Uhakiki utakuwa unafanyika siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 10:00 am hadi 02:00 pm.

Anwani ya Ubalozi:

3 stratford Place

London

W1C 1AS

Namba ya Simu: 02075691470

Barua pepe: balozi@tanzaniahighcommission.co.uk


 

Permanent link to this article: http://tanzaniahighcomm.co.uk/