Welcome and thank you for visiting our website of The High Commission Of The United Republic of Tanzania in
the United Kingdom. Here you will be provided with useful information about Tanzania and the work of the
mission. For any inquiries, please do not hesitate to contact us we are here to help.
Karibuni sana
The High Commission will be closed for public holidays.
In observance of the national holidays in the United Kingdom and the United Republic of Tanzania, the High Commission will be closed on following days:
Friday, December 09, 2016 – Independence Day (Tanzania)
Monday, December 12, 2016 - Mauled Day Tanzania
From Friday, December 23, 2016 To Monday, January 2, 2016 due to Christmas and New Year’s holidays.
Merry Christmas and a Happy New Year 2016!
TANGAZO
UHAKIKI WA WASTAAFU
Wizara ya Fedha na Mipango hivi karibuni ilifanya zoezi la kuhakiki wastaafu wote wanaolipwa pensheni
na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wastaafu ambao hawakujitokeza kuhakikiwa waliondolewa katika daftari la pensheni pamoja na
kusitishwa malipo yao.
Wastaafu wote ambao hawakufanyiwa uhakiki kutokana na kuishi nje ya nchi, mnaombwa kufika katika
ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapa London kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.
Mnaombwa kufika mkiwa na nyaraka zifuatazo;
- Kivuli cha kitambulisho cha mstaafu
- Kivuli cha Barua ya Tuzo
- Kivuli cha ATM card au Bank statement ( akaunti inayotumika kupokea malipo ya pensheni)
- Nakala ya malipo yoyote (payment voucher) ambayo umeshawahi kulipwa na Wizara.
- Nakala ya barua ya kuajiriwa au kuthibitishwa kazini.
- Kitambulisho cha Jeshi kwa Wanajeshi
- Nakala ya barua ya kustaafu au kustaafishwa.
Uhakiki utakuwa unafanyika siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 10:00am hadi 02:00pm.
Anwani ya Ubalozi:
3 stratford Place
London
W1C 1AS
Nambari ya Simu: 02075691470
Barua pepe: [email protected]